Pata mkopo bila kutoka nyumbani kwako
Maongezi ya dakika 20 kwa simu - kuomba mkopo
PIGA SIMU KIRAHISI
PATA NUKUU SASA
FEDHA NDANI YA SIKU TATU
Mchakato wa maombi unakamilika kwa hatua moja kwa dakika 20 za maongezi ya simu
Pesa zitaonekana katika akaunti ya benki siku chache tu baada ya simu ya kwanza
Bayport Group inatoa huduma za kifedha katika nchi 9 ndani ya Afrika na Amerika ya kusini. Ina thamani zaidi ya bilioni 1 USD
Bayport ilianza kutoa huduma ya mikopo kwa watumishi wa umma mnamo mwaka 2006, na imekuwa moja ya taasisi kubwa ya kifedha isiyo ya kibenki nchini
Tumetoa mikopo zaidi ya 305,000 na kutoa zaidi ya Tsh bilioni 375 katika uchumi
Kwa nini uchague Bayport
Tupo katika nchi 9
Tupo Tanzania tangu 2006
Zaidi ya Mikopo 305,000 kwa watanzania
Taasisi ya kifedha inayoaminiwa kitaifa na kimataifa ambayo imetoa mikopo yenye thamani zaidi ya Tsh 375 bilioni kwa Watumishi wa umma wa Tanzania kwa miaka 15
Wateja waliofanikiwa kupitia huduma zetu
Kwa mikopo yangu ya kwanza nililipa ada ya chuo kikuu ya mtoto wangu, nilifanya baadhi ya maboresho nyumbani, na kuongeza kuku wa mayai kwa ajili ya biashara . Pia niliongeza ng'ombe wa maziwa.
Lilian Seth Mallya
Moshi
Kwa watumishi wa umma tu
© 2021 Bayport Haki zote zimehifadhiwa
Bayport Financial Services (T) Limited
3rd Floor, Al Dua Towers, Plot 3/12, Regent Estate, New Bagamayo Road, Dar es Salaam
Kulingana na maelezo ya mapato yako na taarifa binafsi ya kifedha, utaelimishwa juu ya kiasi cha mkopo unachoweza kupata
NANI ANAWEZA KUOMBA
Mikopo ya Bayport inapatikana kwa Watumishi wa umma tu
NANI HAWEZI KUOMBA MKOPO
Waajiriwa wa sekta binafsi, Waliojiajiri, Wamiliki wa biashara
Tunarahisisha - Omba mkopo wakati wowote popote ulipo
RAHISI KABISA!
Tanga
Mwamvua Mhina
Nilikopa kutoka Bayport kuboresha nyumba yangu na kukuza biashara zangu. Nilitunza faida ya biashara yangu ili niendelee kuboresha nyumbani kiwangu.
Kisarawe
Juma Ali Mazinda
Bila mkopo wangu, nisingefikia mafanikio haya kwenye mashamba yangu. Mkopo husaidia endapo una mpango. Mpango wangu ulikuwa ni kuangalia ustawi wa familia yangu, jinsi watakavyoishi na jinsi nitakavyoishi
Tazama jinsi maisha yangu yamebadilika na mikopo wa Bayport